Wakuu pole na majukumu ya kila siku!!moja kwa moja kwenye mada, account ya fb upande wa messenger, haikoneti internet kwa wiki sasa.ikiingia message naiona lakini kurespond inagoma maana inaandika waiting for internet wakati simu inasoma 4G
Kwa wale walio wahi kuexperience hichi kitu naomba msaada na kwa wale waofahamu wameelewa tatizo langu waweza kunisaidia!!!
Nakushaur futa hiyo app na dowload ingine au jarib kuaupdate inawezekana haijaipdatiwa kwa mda mrefu inaweza pelekea kiwa hivo... Pia zima na kuwasha simu yako mara kdahaa au restart au reboot Ilishindkana hapo fanya kuiresto tu au kufulash maana itakuwa hamna namna.