weka hata screenshot mkuu.
japo nahisi kiduara unachozingumzia ni nike cha kuandishia uzi, kwa wote wanaofungua kwa browser wanakiona, kinakuwa chini kulia.
Kama ndio hicho basi jua shida ni simu yako sio kiduara.
Huenda ina RAM ndogo, yani kufupi inauwezo mdogo. Ambapo moja ya suluhisho ni ku-clear caches za browser yako, futa history kwenye browser, usifanye kazi 2 mtandaoni kwa wakati mmoja mfano huku unadownload kitu huku unaperuzi jf.
Wakati mwingine zima simu na kuwasha, isipokaa sawa formart.
Yote yakishindikana uza hiyo, nunua simu yenye specifications za maana.
Mimi si mtaalamu wa haya mambo ila nimetumia tu uzoefu