Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 #1 Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote. Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote. Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,031 Sep 8, 2018 #2 Kwa sababu unaweka taarifa zako kwenye jukwaa la mahusiano na hizo sms zikija zinakuwa kwenye mahusiano badala ya kuja Inbox.
Kwa sababu unaweka taarifa zako kwenye jukwaa la mahusiano na hizo sms zikija zinakuwa kwenye mahusiano badala ya kuja Inbox.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,499 Reaction score 27,776 Sep 8, 2018 #3 kawaida hata mi inanitokeaga
Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 Thread starter #4 Mbao za Mawe said: Kwa sababu unaweka taarifa zako kwenye jukwaa la mahusiano na hizo sms zikija zinakuwa kwenye mahusiano badala ya kuja Inbox. Click to expand... Okay, lakini mbona hata kwenye jukwaa husika sizioni mkuu?
Mbao za Mawe said: Kwa sababu unaweka taarifa zako kwenye jukwaa la mahusiano na hizo sms zikija zinakuwa kwenye mahusiano badala ya kuja Inbox. Click to expand... Okay, lakini mbona hata kwenye jukwaa husika sizioni mkuu?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,031 Sep 8, 2018 #5 Zitakuja subiri huwa zinachelewa kwa sababu ya mtandao. Daud Johnson said: Okay, lakini mbona hata kwenye jukwaa husika sizioni mkuu? Click to expand...
Zitakuja subiri huwa zinachelewa kwa sababu ya mtandao. Daud Johnson said: Okay, lakini mbona hata kwenye jukwaa husika sizioni mkuu? Click to expand...
Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 Thread starter #6 fundi bishoo said: kawaida hata mi inanitokeaga Click to expand... Tatizo ni nini mkuu?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,499 Reaction score 27,776 Sep 8, 2018 #7 Daud Johnson said: Tatizo ni nini mkuu? Click to expand... hata mi sijui ni kwann
Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 Thread starter #8 Mbao za Mawe said: Zitakuja subiri huwa zinachelewa kwa sababu ya mtandao. Click to expand... Okay, ila ni mara ya pili sasa na sijafanikiwa kuona hata moja
Mbao za Mawe said: Zitakuja subiri huwa zinachelewa kwa sababu ya mtandao. Click to expand... Okay, ila ni mara ya pili sasa na sijafanikiwa kuona hata moja
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,031 Sep 8, 2018 #9 Daud Johnson said: Okay, ila ni mara ya pili sasa na sijafanikiwa kuona hata moja Click to expand... Huyo ni demu tu kakuzimikia humu anaku-PM hata mimi ilikuwa hivyo sms inakuja na kupotea baadae nikaja kupata sms kamili sasa.
Daud Johnson said: Okay, ila ni mara ya pili sasa na sijafanikiwa kuona hata moja Click to expand... Huyo ni demu tu kakuzimikia humu anaku-PM hata mimi ilikuwa hivyo sms inakuja na kupotea baadae nikaja kupata sms kamili sasa.
Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 Thread starter #10 Hahaha! Umenifurahisha aisee... Sasa dem anasababishaje hili? Coz hata sioni ujumbe wowote
Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 Thread starter #11 fundi bishoo said: hata mi sijui ni kwann Click to expand... Duh!
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,031 Sep 8, 2018 #12 Daud Johnson said: Hahaha! Umenifurahisha aisee... Sasa dem anasababishaje hili? Coz hata sioni ujumbe wowote Click to expand... Endelea kufurahi ila utakuja kusema mimi ni Nabii huyo ni Demu kakupenda.
Daud Johnson said: Hahaha! Umenifurahisha aisee... Sasa dem anasababishaje hili? Coz hata sioni ujumbe wowote Click to expand... Endelea kufurahi ila utakuja kusema mimi ni Nabii huyo ni Demu kakupenda.
Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 Thread starter #13 Mbao za Mawe said: Huyo ni demu tu kakuzimikia humu anaku-PM hata mimi ilikuwa hivyo sms inakuja na kupotea baadae nikaja kupata sms kamili sasa. Click to expand... Au App yangu ipo outdated mkuu?
Mbao za Mawe said: Huyo ni demu tu kakuzimikia humu anaku-PM hata mimi ilikuwa hivyo sms inakuja na kupotea baadae nikaja kupata sms kamili sasa. Click to expand... Au App yangu ipo outdated mkuu?
Daud Johnson Member Joined Apr 9, 2018 Posts 41 Reaction score 14 Sep 8, 2018 Thread starter #14 Mbao za Mawe said: Endelea kufurahi ila utakuja kusema mimi ni Nabii huyo ni Demu kakupenda. Click to expand... Sawa mkuu ngoja nivute subira
Mbao za Mawe said: Endelea kufurahi ila utakuja kusema mimi ni Nabii huyo ni Demu kakupenda. Click to expand... Sawa mkuu ngoja nivute subira