Msaada

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
11,591
Reaction score
14,375
Naomba nielekezwe sehemu ya kudownload app ya JF natumia simu ya Microsoft Lumia(window phone)
 
asee waje watusaidie bhana, namimi pia natumia Microsoft lumia, ila nimeshaichoka sababu nakosa mambo mengi sana
Watengenezaji wa hizi mambo pia washachoka ni nyie tu mnakomaa na hizo window, daka tecno yako safi kabisa maisha mepesi hehehe
 
Naomba nielekezwe sehemu ya kudownload app ya JF natumia simu ya Microsoft Lumia(window phone)
Hapo hakuna kitu cha app wala nini sababu hawa microsoft wana apps zao na playstore hivyo Melo adevelop ya kuwauzia microsoft.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…