STRAGGLE MAN
JF-Expert Member
- Jan 10, 2018
- 698
- 614
Ni apps gani naweza kutumia Kwenye sim YANGU, ambayo itaweza kunisaidia kuficha apps nyengine isionekane kwenye menu, kwa mfano mm natumia WhatsApp 2 kwenye sim 1 nataka nifiche hii WhatsApp 1 isionekane kwenye hizi apps zangu