mjukuuwanombo
Member
- Nov 15, 2016
- 14
- 18
Hlw, samahan naomba kuuliza mfano kama mtu ana model number ya tv yako anaweza kuifunga isionyeshe pic au kuondoa mwanga?
Koz tv yangu ghafla leo imeanza kufifia mwanga mpaka kutoonyesha kabisa! Nimejarbu kuizima kwa muda na kuiwasha tena bila mafanikio! Ni smart tv