Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Dr-of-three-Phd, May 5, 2011.

 1. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kupata vidonda kwenye mdomo hasa sehemu ile (kamshipa kanakoshika fizi) ambayo mdomo uwe wa juu au wa chini unashikwa na fizi.

  Kunatokana na nini?
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hi. Mimi sio daktari ila nilipouliza hilo swali nilijibiwa hivi:
  inaweza kua ni fungus (candidosis). kunywa nystatine.
  Inatokana pia na kupunguka kwa vitamin C mwilini (Scurvy, zaidi inatokea kwenye fizi lenyewe, linapoungana na jino). kula matunda mengi hasa aina ya machungwa, machenza, ndimu na limao. ikibidi kunywa tembe za vitamin C kwa muda.
  Inasababishwa pia na Herpes ambayo inaambukia kwa ku-kiss mtu mwenye kuumwa herpes (huwezi mtambua kwa haraka ila mara kwa mara anatoka vidonda around mdomo, vidonda vya "homa").
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Fungus (Candidiasis) huwa wanakuwa utando mweupe hivi kama umekunywa maziwa ya mtindi kwenye fizi, ulimi, na kuta za ndani za mdomo...sidhani kama hiyo ni Candidiasis, ambayo japo huwa inatibiwa na Nystatin, lakini sikushauri utumie dawa hiyo kwani sidhani kuwa ni tatizo hilo (kwa maelezo uliyotoa).

  Most likely hiyo ni Scurvy (upungufu wa Vitamin C) mwilini, na matibabu yake ni kama alivyokushauri Roulette..in addition, unaweza meza vidonge vya Vitamin C (Ascorbic Acid) na juice zenye Vitamin C (mfano juice za machungwa, maembe, mananasi, passion, ndimu/limao).

  Herpes Simplex vipele/vidonda vyake huwa nje ya mdomo kwenye maeneo ya lips kitaalam Herpes Labialis (vile vipele tunavyoita vipele vya homa), sidhani hiyo ni Herpes.
  NB: Herpes Simplex haiambukizwi kwa kukiss mtu mwenye Herpes. Haiambukizi kabisaaa. Kinachotokea ni re-activation ya Herpes Simplex Virus ambao wenyewe wanakuwa ndani sana kwenye ganglion za neva (mishipa ya fahamu) ambayo inasimamia eneo hilo. Hivyo haiambukizi.
   
 4. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa hiyo NB yako ina walakini,alafu naona unazidi kusisitiza "haimbukizi kabisa".Herpes simplex (HSV-1) inambukizwa kwa kunyonyana midomo.
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  he made a mistake .. but the rest he might be right! could me Vitamin C ... ni kawaida watu tunasahau kula matunda .. namshauri mtoa mada anywe juice ya matunda .. hajapata afadhali with 1 week akimbie hospital
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Kiroboto...Njiwa, my apologies. Thanks for correction.
   
Loading...