kuna mchina mmoja ana group ya whatsapp anaagiza vitu kwa bei chee sana. Kuna mtu humu nilimpa product aniagizie akaniambia ni 100,000 but nikampa yule mchina aniagizie product ile ile na kwa suplier yuleyule cost ikawa 68,000. Watz tusingekuwa na hulka ya kupenda kuibiana tungekuwa mbali sana.