kisikinumber
Member
- Jul 24, 2014
- 94
- 68
Naomba kuuliza!!
Hivi ni kwanini mtu akienda haja kubwa(kunya) anapo anza hicho kitendo ni mpaka akojoe yani mavi na mkojo hutoka pamoja?
Na ukienda kukojoa Huwezi toa kinyesi pindi unapokojoa?
Kuna mechanism gani hapo inayotumika kwa vitendo vyote hivyo viwili!!?