Umeme mdogoNina mziki wa Sony mini HiFi model GZR999D tatizo ni kwamba nikiongeza sauti unajizima na iyo hali uwa inatokea Mara kwa Mara nakosa data kabisa ya kuenjoy Ila kuna muda una kaa sawa. Msaada tafafhali ttzo itakua ni nini.
Nikweli kabisaUmeme mdogo