paramawe
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 151
- 24
Naomba kujulishwa kwa anayejua hasa mliopo china na nchi zingine, Bei ya mashine au mtambo wowote wa kutengengeza ice block uwe used au mpya unaotoa hata tofali 20 za ice, tofauti na freezer za kawaida au mtu yoyote anayeweza kutengeneza mtambo huu. Napatikana hapa 0785 600 437 ahsante