Davooo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 506
- 776
Habari wanajf,
Mimi ni kijana Wa kiume 26 aged,issue ni kwamba Nina viuvimbe vidogo kwenye maziwa yangu(vile vya balehe)so tangu kubalehe kwangu havijaondoka
Kipindi nipo o level nilijishughulisha sana na punyeto(nikiwa kwenye balehe stege)sasa hadi Leo havijaondoka na kuna wakati nikiviminya vinaondoka bt soon vinarud na kufanya uvimbe uonekane tena
Msaada plz