N Nyakwec's Bro JF-Expert Member Apr 27, 2012 820 174 Oct 22, 2012 #1 Habari za asubuhi wanajamvi,ninashida katika ofisi hizo za world vision hapa Dar es salaam lakini sifahamu zilipo na nimesha google sana bila mafanikio ninaomba anaefahamu anifahamishe wapendwa. Ninatanguliza shukrani.
Habari za asubuhi wanajamvi,ninashida katika ofisi hizo za world vision hapa Dar es salaam lakini sifahamu zilipo na nimesha google sana bila mafanikio ninaomba anaefahamu anifahamishe wapendwa. Ninatanguliza shukrani.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,685 68,671 Oct 22, 2012 #2 Ebu mpigie simu Edward shighula 0717116967 atakupa maelekezo
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Oct 22, 2012 #3 Hebu mtumie email Security Officer wa World Vision atakupa Maelekezo. Anaitwa Muganda. Email yake: elias_muganda@wvi.org Au mpigie 0782 744 746
Hebu mtumie email Security Officer wa World Vision atakupa Maelekezo. Anaitwa Muganda. Email yake: elias_muganda@wvi.org Au mpigie 0782 744 746
N Nyakwec's Bro JF-Expert Member Apr 27, 2012 820 174 Oct 22, 2012 Thread starter #4 King Kong III said: Ebu mpigie simu Edward shighula 0717116967 atakupa maelekezo Click to expand... Nashukuru sana mkuu ngoja nimcheki!...
King Kong III said: Ebu mpigie simu Edward shighula 0717116967 atakupa maelekezo Click to expand... Nashukuru sana mkuu ngoja nimcheki!...
N Nyakwec's Bro JF-Expert Member Apr 27, 2012 820 174 Oct 22, 2012 Thread starter #5 Mungi said: Hebu mtumie email Security Officer wa World Vision atakupa Maelekezo. Anaitwa Muganda. Email yake: elias_muganda@wvi.org Au mpigie 0782 744 746 Click to expand... Nashukuru sana mkuu,ngoja niwasiliane nae pia!...
Mungi said: Hebu mtumie email Security Officer wa World Vision atakupa Maelekezo. Anaitwa Muganda. Email yake: elias_muganda@wvi.org Au mpigie 0782 744 746 Click to expand... Nashukuru sana mkuu,ngoja niwasiliane nae pia!...
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,017 94,059 Oct 22, 2012 #6 hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,685 68,671 Oct 22, 2012 #7 watu8 said: hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu. Click to expand... Hizo Info nilizoweka ni Public Bonyeza Hapa Uone
watu8 said: hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu. Click to expand... Hizo Info nilizoweka ni Public Bonyeza Hapa Uone
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Oct 22, 2012 #8 watu8 said: hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu. Click to expand... Hao siyo watu wanaoficha personal zao, ni watu ambao wako flexible wanafahamika.
watu8 said: hivi mkuu Mungi na King Kong III, ni sawa kudisplay info personal za watu sehemu public...nadhani mngePM tu wakuu. Click to expand... Hao siyo watu wanaoficha personal zao, ni watu ambao wako flexible wanafahamika.
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,017 94,059 Oct 22, 2012 #9 King Kong III said: Hizo Info nilizoweka ni Public Bonyeza Hapa Uone Click to expand... pamoja mzee wa Enaboishu...
King Kong III said: Hizo Info nilizoweka ni Public Bonyeza Hapa Uone Click to expand... pamoja mzee wa Enaboishu...
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,017 94,059 Oct 22, 2012 #10 Mungi said: Hao siyo watu wanaoficha personal zao, ni watu ambao wako flexible wanafahamika. Click to expand... pamoja mkuu...
Mungi said: Hao siyo watu wanaoficha personal zao, ni watu ambao wako flexible wanafahamika. Click to expand... pamoja mkuu...