Msaada zilipo ofisi za Saratoga Dar

Msaada zilipo ofisi za Saratoga Dar

Mbagala Tz

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
57
Reaction score
42
Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu

Natanguliza shukrani
 
Tusubiri wanaofahamu japo unaweza kufuatilia kwanza kupitia Google maps
Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu

Natanguliza shukrani
 
Zipo nyuma ya Club ya Wazee Ilala-Bungoni…. Fuata barabara ya lami inayopita mbele ya geti la Amana Hospital kwa mbele utaziona mkono wa kulia….. Kama bado hawaja hawaja hama(Sijui maelezo yangu yame eleweka?)
Tusubiri wanaofahamu japo unaweza kufuatilia kwanza kupitia Google maps
 
Back
Top Bottom