Msaada zantel huawei modem.

Msaada zantel huawei modem.

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
Wadau me modem yangu za huawei ya zantel haitaki kusoma netwk ya zantel ukiweka inagoma naambiwa ntumie line iliyo authorizd chaajabu nikiweka sim ya voda inaconnect tatizo inantaka niongeze hela kwa kuweka namba ya sim na voucher sasa hapo ndo nakwama maana nikiweka haikubali. Msaada plz kwa yeyote anayelijua hli.
 
Wape wataalamu wai-flash itaingia vocha yoyote ya mtandao ambao line imewekwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom