Chip yangu inagoma kuconnect kwene modem

Chip yangu inagoma kuconnect kwene modem

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Wakuu juzi nilitoka kutumia wajanja nyt...then jana nikajaribu kuunga bundle..linatumika vizuri kwenye simu lakini kwenye modem haikubali kabisa kuconnect... Haiandiki kama kuna error imetokea au vipi..lakini inaandika 'connection attempt failed' chini kuna option ya ku-redial na pia ku-cancel...japokua nafahamu kwamba vodacom chip huwa inaconnect hata kama huna salio...
Modem ni huawei...E160... Na natumia mobile partner kama update iliyowekwa hapa na mkuu Nyasiro...
Vile vile meseji haziingii wala calls...
Nb: nikiweka laini nyingne ya voda tofauti na hii..inakubali kila kitu ikiwemo kupokea meseji...
Voda pia wameshindwa kunisaidia... Wananambia eti niende control pannel mpaka wananichanganya...
Shukrani
 
Last edited by a moderator:
Vodacom is no longer connect at zero balance. Weka salio uthibitishe. Pia kupiga simu nakupokea inahitaji lazima uwe na dashboard inayo support na modem inayosupport call, maana sio modem zote zina uwezo wa kupiga au kupokea simu.
 
dashboard inaruhusu mkuu... Tatizo linakuja nikuunga bando kwenye hii laini... Haiconnect.. Mda wa bando ukiisha..then nikatumia salio la kawaida inakubali kukonect
 
Back
Top Bottom