Msaada yadi inayokopesha magari

Msaada yadi inayokopesha magari

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Wakuu poleni na mahangaiko ya hapa na pale, naitaji gari la mkopo. Kama kuna mtu anajua yadi wanayokopesha magari kila mwez ukawa unalipa nitashukuru saaana na mashart yake kama unajua.
0769038065 no. Yangu.
Nashukuru saaana
 
wakuu poleni na mahangaiko ya hapa na pale, naitaji gari la mkopo. Kama kuna mtu anajua yadi wanayokopesha magari kila mwez ukawa unalipa nitashukuru saaana na mashart yake kama unajua.
0769038065 no. Yangu.
Nashukuru saaana

msaaada wakuu
 
ushauri..nenda bank kopa hela.. then nenda yard ununue gari unalolipenda..

maana hakuna yard ya kuanza kusumbuana kukudai..

wao wanafanya biashara wanazungusha hela
 
ushauri..nenda bank kopa hela.. Then nenda yard ununue gari unalolipenda..

Maana hakuna yard ya kuanza kusumbuana kukudai..

Wao wanafanya biashara wanazungusha hela

hasante mkuu kwa ushaur
 
Naskia zipo yard unaanza kutoa atleast 50% ya cost ya gari then kilichobaki unalipa in installments but possession of the car remain to the seller until u make the final installment. Kama kuna mwenye ufahamu zaidi juu ya hili naomba atufafanulie kwa faida ya wengi.
 
Back
Top Bottom