Msaada Wizara ya Ujenzi

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
Wakuu naombeni msaada wa jina kamili kwa kiingereza la wizara inayoongozwa na Mh. Magufuri.

Nisaidieni kabla sijasema ni ministry of construction.

Msaada wajameni lugha sio yetu hii.
 
<br />
<br />
Ministry of Labour

Ahsante sana Ridhiwani.

Inaelekea una data sana kijana, je hii wizara ina website?

Kama ipo address yake ni ipi?

Na kama haipo je kwa ni ni akili kwa wizara kutokuwa na website?
 
<br />
<br />
Infrastructure ni miundombinu wewe, hivi umewahi kupita hata chekechea?

teh teh teh teh teh teh teh teh

Mwita25 maranya ni kiboko kweli

Ministry Of Works = Wizara ya Ujenzi
Ministry Of Labour = Wizara ya Ujenzi au ni wizara ya kujifungua wakina mama

Au Labour Ward na yeneywe inaitwaje??
 
teh teh teh teh teh teh teh teh Mwita25 maranya ni kiboko kweli Ministry Of Works = Wizara ya Ujenzi Ministry Of Labour = Wizara ya Ujenzi au ni wizara ya kujifungua wakina mama Au Labour Ward na yeneywe inaitwaje??
Mkuu mbona unamcheka unadhani kakosea? Yupo sahihi 100%,Mwita25 alias Ridhiwani(according to 999 Others) kwa hili thumbs up!!Lakini wakuu mbona mbona mnauliza maswali rahisi sana? Kuna website ya serikali National Website of the United Republic of Tanzania ukiwa na kitu chochote unachotaka kufahamu kuhusu idara za serikali check hiyo site kwanza,ukishindwa njoo uombe msaada.Kama hili la wizara ya ujenzi ni swali la kuulizwa na great thinker?Unataka kuniambia haufahamu kama kuna website ya serikali? Sitaki kuamini.
 
Back
Top Bottom