Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Habari zenu wakuu,nina tatizo kwa yeyote anayefahamu pc yangu natumia window 7 professional tatizo ni kwamba ile option ya sleep kwenye power button haifanyi kazi yaani ukilinganisha na option nyingine kama hibernate,restart,log off, yenyewe inaonekana imechuja yaani haiko active kama hizo nyingine na tatizo lingine ile option ya aero peak priview on desk top nayo haipo active je hili tatizo linasababishwa na nini? Kwa yeyote anayefahamu naomba anisaidie