Msaada: windows 10 metered connection

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Habari zenu wakuu...

Hiki kitu kinaitwa metered connection kinanizingua waungwana...

Niki-connect kwenye WIFI na kutoka, ninaporudi WIFI hairudi na kuniandikia ujumbe kama unavyosomeka hapa chini. Inanibidi ni-restart computer ili niipate tena WIFI..

Chonde chonde.

network.PNG
 
Sidhani kama kinachofanya hiyo pc kuzima wifi ni hio metered connection.

Ukiweka airplane mode na kurudisha haiwaki wifi?

Sometime kunakuwa na bug kama hio ila ukiweka wifi iwe autoconnect ina solve.

Pia jaribu
-ku update drivers za wifi
-update windows.
 
Sorry out of topic mkuu na mleta thread
Hii ni samsung a7 chinese version haina playstore,nlidownload apk ya open gapps ikanipa muongozo huo ila haimaliz kudownload,
Kna njia nyngne ease ya kuweka google apps chief?
IMG_20190125_130530.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry out of topic mkuu na mleta thread
Hii ni samsung a7 chinese version haina playstore,nlidownload apk ya open gapps ikanipa muongozo huo ila haimaliz kudownload,
Kna njia nyngne ease ya kuweka google apps chief?View attachment 1004329

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi mrushia mtu playstore kwa kutumia xender na yeye akainstall fresh tu, naye alikuwa na tatizo kama lako. So waweza jaribu kurushiwa na mtu, tumia xender ndo inatuma system apps
 
Sorry out of topic mkuu na mleta thread
Hii ni samsung a7 chinese version haina playstore,nlidownload apk ya open gapps ikanipa muongozo huo ila haimaliz kudownload,
Kna njia nyngne ease ya kuweka google apps chief?View attachment 1004329

Sent using Jamii Forums mobile app
Karinu kutumia yalp(play) store, hii ni modified version kukuwezesha kudownload apk.
download yalp store free (android)

Kuhusu playstore si kila simu inaweza eka apps za playstore kwa mfumo wa kuweka apk, njia hio ni hadi mtengeneza simu awe amekusetia, pengine utahitajika kuziflash hizo apps.
 
Sidhani kama kinachofanya hiyo pc kuzima wifi ni hio metered connection.

Ukiweka airplane mode na kurudisha haiwaki wifi?

Sometime kunakuwa na bug kama hio ila ukiweka wifi iwe autoconnect ina solve.

Pia jaribu
-ku update drivers za wifi
-update windows.
Sawa ngoja nijaribu. Nitaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu please naomba nisaidie njia rahisi na ambayo siyo gharama ya kumirror simu yangu kwa pc!....yaani nikiplay video kwenye simu yangu niione kwenye pc
Pc yako ina windows 10? Tumia built in feature

How to Turn Your Windows 10 PC Into a Wireless Display

Alternative tumia software kama kodi ama windows media player ama plex etc sema hii itataka vyote pc na simu viwe on same network.

Angalia zaidi hapa tutorial ya kodi.
Kodi UPnP: How to share libraries using Kodi UPnP server | Comparitech

Shuka chini hadi hapo anaposema enable upnp server ndio tutorial ilipo.

Ukishaseti kodi on then kwenye simu download app yoyote ya dlna (zipo kibao playstore) tumia hio app kucheza video itaonekana kwenye pc ndani ya kodi.
 
Mkuu pc yangu ina window 10 ila hiyo inbuilt feature nimeijaribu ila haifanyi vizuri kama akina Amirrorpower!

Back
Top Bottom