windows gani unatumia,inawezekana ikawa ni virus, au tatizo lengine,kwa kuanzia tafuta cd ya windows uiformat.,au umpatie mtu anayeweza kukusaidia kuformat.
wakuu niwashukuru kwa mawazo yenu..
Baada ya kuhangaika sana nimeobserve jambo moja kuwa fan haifany kazi na hivyo kusababisha overheat,
Ahsanteni sana.
Toa maelezo ya kutosha ila ueleweke.Angalia muda inaozimika baada ya kuwashwa je ni huohuo au uko tofauti.Mfano je inazimika kila baada ya dakika 10 au?Kuna message yeyote inatoa wakati inawaka na kabla ya kuzimika?Fanya hilo jaribio then let us know.Kunakitu nahisi kinasababisha ila fanya kwanza niliyokwambia then let me know.