NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
mbona mm ninayo nokia asha lakini inagoma??
Ujue ASHA MCHINA huyo.pole sana
mbona mm ninayo nokia asha lakini inagoma??
mkuu hayo maelezo yako mmh! Tusiongee sana ingia kwa website yao supported os zimeandikwa pale ios,bb, windows,android ,s40,s60 sa hiyo asha cjui hadija cjui umeitoa wapi(just kidding) ila mkuu asha ni aina ya cmu
umeona alichokiongelea john hotsam da1john hotsam da1 said:watsapp ni app inakaa kwenye Smartphone
pekee,kama simu yako hairun one ya os
zifuatazo,it is not supported android
ios
blackberry os
windows
asha os na nyingine zitaongezwa na wengine
hardman said:s40 pia ina support
nurbert said:s40 na hyo asha n same... Ila wanatumia asha
instead of s40 coz ukisema s40 hata hyo hapo
juu n s40 ila hz sapot hyo whatsapp.... So inshort thats the reazon
chagua verification kwa simu ni fast and easy
chagua verification ya voice call ni simple sanaNimedownload mpaka leo nasubiria verification code mpaka hamu imeisha.
ukiona inakataa ujue ni nokia aisha hyo.kwa nokia asha ni kuanzia nokia asha 201 na kuendelea chini ya hapo haikubali