Msaada: Whatsapp yangu haina option ya setting

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,054
994
whatsapp ninayo download haina icon ya setting

help me plz where i can get the one with setting on the top,

asante
 
whatsapp unayoihitaji ni lazima iwe imeandikwa whatsapp messenger mkuu!
 
Ukitaka kufaid tumia Yowhatsaap utawakimbiza snaa wenzako,hawajui km upo online,hawatajua kama una type,hawatajua kama sms yao kwako imefika,hawatajua kama unasoma status zao yaan ni full shangwe
 
Ukitaka kufaid tumia Yowhatsaap utawakimbiza snaa wenzako,hawajui km upo online,hawatajua kama una type,hawatajua kama sms yao kwako imefika,hawatajua kama unasoma status zao yaan ni full shangwe
Shida zote hizo ni kuficha nini haswa?
 
Back
Top Bottom