Msaada WhatsApp kwenye i phone

Msaada WhatsApp kwenye i phone

Hii watups ni app mpya kabisa kwenye ulimwengu wa teknolojia nadhani.
 
Iko ya bure mim naitumia..hakikisha iphone yako iko jailbroken na ina cydia download hichi kitu whatsapp.ipa then sync kenye itunes...fresshhh
 
Kupenda vya bure ndo maana maghorofa yanaanguka ...sijui kwa nini mnapenda vitu vya bure watanzania
 
Kupenda vya bure ndo maana maghorofa yanaanguka ...sijui kwa nini mnapenda vitu vya bure watanzania

maisha magumu alafu tunapenda vizuri unategemea nini!

Ndio maana sisi ni marafiki wakubwa wa wachina tumewauzia nchi kabisaaa!
 
Back
Top Bottom