Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,492
- 2,357
Nasgindwa kuingia WhatsApp, nini nifqnye? Maana nimedownload WhatsApp zote (normal, WhatsApp business, fmwhatsapp)
Kweli kabisaa mkuu hata mi huo ujumbe ushanitokea na nilihangaika sana bila mafanikio ila vilipo pewa wifi na mtu ama vpn mambo yalikaa mwake mwakeWasha vpn, endelea kama kawaida