Try this,
Hizi step zifanye ukitumia computer na sio simu..
1.Download Sachesi for Windows hapa..
Releases · xsacha/Sachesi · GitHub
2.Unzip hiyo zip file katika desktop au popote utakaoiona kirahisi.
3.Download Snap hapa..
Snap - Red Light Of Love, Ltd.
Kuna window itapop up ya billing info we jaza tu maana haina ishu,kisha pakua Snap nayo iwepe utakapoiona.Ni vyema ikiwa kwenye desktop .
4.Connect simu yako na computer kwa kutumia cable yake og.
5.Fungua unzipped folder la Sachesi kisha run application file inayoonekana kama hapa chini..
View attachment 691689
NB:Ukifungua hiyo app itasaka simu yako ikiiona hamia step inayofuata otherwise kuna shida ya cable au USB ports zako nk
6.Click tab iliyoandikwa install..
7.Rudi ulipoweka file la Snap(step 3) kisha lidrag na kulidrop hapa kwenye install..
8.Subiri imalize installation kisha funga kila kitu na kurudi kwenye simu yako.
9.Tafuta app inaitwa Snap kwenye simu kisha ifungue na kupitia hiyo app utainstall whatsapp vizuri kama unanawa vile(Snap hapa ina act kama PlayStore).
Jaribu inaweza kukusaidia as it worked for when i was using BlackBeryy