Msaada wezangu, ninachoka sana ata nikikaa nyumbani tu

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,211
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa

naombeni ushauri wa kitabibu, nini tatizo, nikacheki kitu gani, au nitumie nini ili niondokane na khari hii?
 
Pole Sana Mkuu, Ninakomba Husijisikie Vibaya Kwani Tiba Utaipata!
Samahani Mkuu; Ww Ni Jinsia Gani Kwani?
 
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa

naombeni ushauri wa kitabibu, nini tatizo, nikacheki kitu gani, au nitumie nini ili niondokane na khari hii?

We unadhani punyetto haichoshi?. Kalagabaho
 
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa

naombeni ushauri wa kitabibu, nini tatizo, nikacheki kitu gani, au nitumie nini ili niondokane na khari hii?
MziziMkavu pitia hapa kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa

naombeni ushauri wa kitabibu, nini tatizo, nikacheki kitu gani, au nitumie nini ili niondokane na khari hii?

Pima pressure kwanza
 
Mazoezi ni dawa tosha kuchangamsha misuli, matatizo yakizidi kimbilia hospitali.
 
kama Unanyetuka Au Umewahi Kunyetuka , Nenda Hospitali Wakudunge NeuroChemical
 
Nguvu ya mwili huzalishwa kwenye cell zinazojulikana kama Mitochondria. Kama mwili wako hauzalishi nguvu za kutosha unaweza ukawa na magonjwa hasa hasa ya kisukari na Depression. Jaribu kucheki kama una dalili za magonjwa haya. Kwa upande wa kiroho, angalia vizuri, usije ukawa unachukuliwa na wachawi kama msukule, unalimishwa usiku kucha, ukiamaka unahisi umechoka. Fanya check up kwenye areas hizo kwanza. Usipoona improvements ni P.M. Pia jaribu kunywa dawa za typhoid kama vile Cipro.
 
Back
Top Bottom