Natumai Mu wazima hum jaman, nahitaji kujua hiz picha zinapatikan kwa page gan Instagram?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wa watu wa nch gani mm nawapendagaNatumai Mu wazima hum jaman, nahitaji kujua hiz picha zinapatikan kwa page gan Instagram?View attachment 1033974
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeiona 2 status kwa mtu my sisterDuuh! Kwani we umeitolea wapi?
Huoni kama ungemuuliza yeye ingekuwa poa na rahisi zaidi?
Ye mwenyew hajui na hua anatafuta kujua kitamboHuoni kama ungemuuliza yeye ingekuwa poa na rahisi zaidi?
Ila Usijali subiri wanaojua ni wapi ipo waje wakwambie Mkuu.
Duuh.
Sawa Mkuu.Nenda ka angalie filamu ya gods must be crazy ndio utajua ni watu wa nchi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app