Msaada:Wenye uelewa wa hili

Msaada:Wenye uelewa wa hili

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,773
Reaction score
3,527
Nilinunua simu ndogo Samsung fm radio laini moja nimetumia kwa mawasiliano na laini ya tigo kwa miezi mitatu sasa
Siku za hivi karibuni ilianza kukata mawasiliano na ikawa inaandika insert sim card kila nikijaribu kutoa laini na kuiweka tena inasoma kwa dk moja inakata na kuandika insert sim card
Kinachonishangaza hii laini nikiweka kwenye simu nyingne inafanya kazi kama kawaida na hii simu nikiweka laini nyingne pia ya mtandao huo huo inafanya kazi vizuri tu.Naombeni msaada kwa aliewahi kumbana na tatzo kama hilo kwani hiisimu nilinunua ili niwe hewani muda wote kulingana na kukaa na chaji sasa inanipa changamoto na ni laini ya biashara
Natanguliza shukrani
 
Ikate laini vizuri ilingane n hiyo nyingine..
Fnanisha hata muinekano wa vibati..
 
Ikate laini vizuri ilingane n hiyo nyingine..
Fnanisha hata muinekano wa vibati..
Ni simu ndogo mkuu laini inakaa nzima,halafu inaweza kusoma hata kwa dk mbili then ghafla insert sim card na ndio itabiki hivyo hata ufanye vipi
 
Hiyo sehemu ya kuweka line huwa inakufa.. Nenda kwa fundi atakubadilishia
 
Hiyo sehemu ya kuweka line huwa inakufa.. Nenda kwa fundi atakubadilishia
Asante mkuu hofu yangu kuipeleka kwa fundi ni kwamba laini nyingne zinasoma bila wasiwasi tatizo nikiweka tu hii laini yangu ya tigo
 
Asante mkuu hofu yangu kuipeleka kwa fundi ni kwamba laini nyingne zinasoma bila wasiwasi tatizo nikiweka tu hii laini yangu ya tigo
Kumbe ni tigo peke yake...
Basi iswap hiyo line itakuwa inaelekea kufa labda!
 
Kumbe ni tigo peke yake...
Basi iswap hiyo line itakuwa inaelekea kufa labda!
Ndio hivyo ndugu lakini nikiweka laini nyingne za tigo zinasoma vizuri kabisa na hii laini yangu ya tigo pia nikiweka kwenye simu nyingne inasoma pia na inafanya kazi vizuri sana
 
Jamani msaada tafadhali kwa anayejua
 
Tuma picha yako ukiwa umeshika simu na risiti ya manunuzi tuone tunakusaidiaje.
 
Bateri itakuwa na shida, weka betri nyingine uone matokeo
 
Back
Top Bottom