MSAADA WENU:WIRING STANDARDS.

MSAADA WENU:WIRING STANDARDS.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habari wakuu!!
kuna swali linanichanganya hapa kuhusu wiring standards kwenye Module ya Maintain of network and it's components.

Sawali linasema hivi.

Briefly explain two wiring standards 568A and 568B which are used today.

msaada wenu wadau!!
 
Back
Top Bottom