Sifa ya sheria huwa haina macho haijalishi wewe ni nani bali sheria inasema nini.samaki wadogo hawaruhusiwi kuvuliwa maana kutakuwa hakuna muendelezo wa kizazi cha samaki hivyo kama samaki wakubwa hakuna acha kuchukua wadogo. kutoa na kupokea rushwa ni kosa kisheria hivyo ili uwe salama unatakiwa usifanye biashara ya samaki wadogo na ukihisi kuonewa usitowe rushwa sema kesi yangu nataka ipelekwe mahakamani hao ndoyo wenye mamlaka ya kutoa haki.