Msaada wenu wana jukwaa.

mazongera

Member
Jan 17, 2015
43
47
Ni matumaini yangu mu-wazima was afya. Nina nina Android device aina ya VIWA X6, ilitokea itilafu ya kuzima ghafla.
Niliipeleka kwa fundi kwa ajili ya matengenezo,nashukuru Mungu simu imeweza kuwaka tena. Tatizo lililopo ni kuwa, inadai niingize Gmail account yangu ambayo kila nikiingiza hai-respond nimejaribu zaidi ya mara tatu imeshindikana hivyo naomba msaada juu ya hili natanguliza shukrani.
 
hiyo ni FRP ni aina ya protection ya google from android 5. means Factory reset protection.
kama hiyo simu ni mediatek watafix kwa haraka mafundi lakini kama ni spreadtrum italeta changamoto kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom