Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,575
- 3,894
Nina laptop yangu wakuu imezingua upande wa kushusha window, mwanzo nilikuwa natumia window 10 ikaleta shida kidogo ya kutokubali kuingiza program na setting ikawa haifunguki nikashauriwa nibadili window nikampa mtaalam wa anisaidie kushusha akashusha window 7 lakini hapa pc ipo tu haifunguki hadi mwisho inawaka tu na kuzima na kuwaka bila kufika kwenye menu. Pc ni ASUS
Msaada wenu wakuu mwaminifuhalisi na wengine karbuni.
Natanguliza shukrani.
Msaada wenu wakuu mwaminifuhalisi na wengine karbuni.
Natanguliza shukrani.