Msaada wenu wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu wana jf

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MIUNDOMBINU, Nov 14, 2011.

 1. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Wakuu salaam.

  Nina wazo la kuanzisha kampuni ya tours hapa dar, lakini sijui utaratibu mzima wa jinsi ya kuanzisha kampuni ya aina hiyo.
  Wala sina mtu wa karibu mwenye uzoefu wa kutosha katika sekta hiyo.

  Ombi langu: Ninaomba kufahamisha utaratibu wa jinsi ya kusaji, uendeshaji, masoka na mambo mengineyo yahusuyo biasharra hiyo.

  Asanteni.
   
 2. C

  Charity Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana kwa wazo zuri, tuma email kwa upendo_2007@yahoo.com kwa msaada zaidi juu ya kufungua kampuni ya tours. Thanx:
   
Loading...