Msaada Wenu wana JF........please...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Wenu wana JF........please...!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kisaka80, Feb 24, 2012.

 1. Kisaka80

  Kisaka80 Senior Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wapendwa wana JF

  Kuna ndugu yangu amepata Division Four pts 32, na amepata alama C katika somo la Biology.

  Je anaweza kupata nafasi ya kusomea Nursing na baadae kuweza kuajiriwa?

  Pia naomba mnitajie vyuo vya Nursing vya serikali au Binafsi/ private......mnavyovifahamu na sifa zitakiwazo ili kujiunga na mafunzo kama unafahamu.

  Asanteni sana.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Acha kuzuga,ni wewe.
   
 3. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mie sijuii ila ukipata contacts za shule//vyuo watakueleza.

  Mwambie asivunjike moyo.
   
 4. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  kwi kwi kwi, hapo inamaana kapata C moja zilizobaki F, huyo hapati hata polisi haendi huyo
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mhk, labda kama chuo ni chenu but sidhani kama atapata sehemu yoyote bila kuresit ili apate credits tatu. Kuna jamaa kazema hata upolisi hawezi. Nadhani aende tu na cheti cha la saba kama bado vinatolewa. Mpe pole mkuu!!!!!
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  C ya bios ni nzuri na dogo watamchukua2 koz hyo ni sayansi, vyuo vya nursing ni chuo cha Nkinga-Tabora nzega, chuo cha Mvumi-Tabora, manyoni-singida so hvyo ni baadhi ya vyuo so wahi kufatilia koz huwa kuna intrvw aprl.
   
Loading...