Msaada wenu wana IT

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,024
Habari

Nisiwachoshe baada ya vifurushi vya internet kupanda na gharama kuwa kubwa nikaona sasa niachane na maswala ya kuweka bado na kuanza kutumia mambo yetu yale ya maVPN ili nipate free internet.. sasa tatizo linakuja kwenye kuongeza muda maana naona inakata kabla ya muda niliouweka Mimi, nataka isikate kabla ya muda nilioseti Mimi je nitumie file gani zuri zaidi?

Karibuni kwa michango yenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…