Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 184
Wakuu naomba mnisaidie kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri mwanamke!
Age is just a number...
Ni kweli but from yo experience have u ever dated sm1 younger than u?
Ndio nishawahi kuwa shuga mamy wa mtu lol...
wewe je?
Mi nazingua mwayego, sijawahi kuwa na mtu niliemzidi umriIf that's true hongera sana kwa kutambua what u need n mostly kutambua what makes u happy
However am Aman so we mostly date younger but for me yeah nimedate Mara kadhaa na older women n I honestly love t but I don't know y
MKUBWA kiela ama kiumri,??
KAMA KIHELA SAWA ILA KIUMRI HELL NAAHHH
Age is just a number...
MKUBWA kiela ama kiumri,??
KAMA KIHELA SAWA ILA KIUMRI HELL NAAHHH
Wakuu naomba mnisaidie kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri mwanamke!
pardon...age is just a wordMmmh...!!!!