OTHMAN BEY
Member
- Jun 20, 2026
- 74
- 123
Hospital nimeenda mkuu dawa nikapewa ila bado sijapona nemetumia dawa tofauti nataka kujalibu dawa za miti shamba kama kuna anaejua msaada wenuNenda hospital
So kweliPole sana.
Hivi ni kwanini mara nyingi huwakumba wanawake zaidi?!
Tafuta mafuta ya kondoo na asali mbichi mix then uwe unatumia dailyHospital nimeenda mkuu dawa nikapewa ila bado sijapona nemetumia dawa tofauti nataka kujalibu dawa za miti shamba kama kuna anaejua msaada wenu
Asante mkuuKapime kama ni h pylori , pata dawa , halafu tumia mlenda wa kinyaturu kwenye mlo wako , mara kwa mara, jiepushe na vyakula vyenye gesi nyingi tu, ndani ya mwaka tu unapona kabisa
Na ule kwa wakati!Hospital nimeenda mkuu dawa nikapewa ila bado sijapona nemetumia dawa tofauti nataka kujalibu dawa za miti shamba kama kuna anaejua msaada wenu
Sawa mkuu ahsante kwa ushauriTafuta mafuta ya kondoo na asali mbichi mix then uwe unatumia daily
Hio ni uhakika,Sawa mkuu ahsante kwa ushauri
Hapa alijaribu kutengeneza heligo kit ya bei rahisi , hii inaua bacteria wa h pylori tu ila vidonda bado vipo pale paleNa ule kwa wakati!
Mimi nilimeza amoxylin, flagyl na omeprazole
Baaasi kama umeshawahi kuona mwanaume anaugua vidonda vya tumbo, itoshe kusema umeshaona mengi ππSo kweli
Oh basi akapime!Hapa alijaribu kutengeneza heligo kit ya bei rahisi , hii inaua bacteria wa h pylori tu ila vidonda bado vipo pale pale
Na si mmoja! We bado ukikuwa utaona mengi!Baaasi kama umeshawahi kuona mwanaume anaugua vidonda vya tumbo, itoshe kusema umeshaona mengi ππ
Sawa mkuu vitu hvyo maharage mekundu nikigusa tu balaa linaanza vtu vya uchachu nyanya n.k ndo usipimeVIkisha komaa hata ufanye nini mtu wangu, its over, unakuwa tu unatuliza symptoms zake.
Ponea yake nikuvitibu mapema (early stages)
UKiwa stage ya kati kati unakuta unapoona vinaamka baada ya miezi au mwaka.
Ili ikiwa konki, aisee utaliwa pesa sanaaaa kutafuta dawa
Stage yako, ni kumantain symptoms, Endelea kutumia dawa za kuituliza lakini pia kula mapema na milo mitatu, kunywa maji sana, lakini pia acha dagaa kabisa, maharage, vidonge vya maumivu ukiwa umeshiba na maji mengi