Issah festo
Member
- Dec 13, 2014
- 31
- 11
Heshima yenu wakubwa, hamjambo? Mimi nilimaliza kidato cha 6 mwaka huu na matokeo yamerud sijakidhi vigezo. yaan nimepata History E, Kiswahili D, English S na G.s S. Sasa, nahitaji kusoma Diploma, mlolongo unaendaje maana kuna nawasikia wanasema hautumii cheti cha Six, wengine Unatumia basi hakieleweki. msaada wenu tafadhali!