Msaada wenu wakuu juu ya course hizi za afya

chazdlamarck

JF-Expert Member
May 29, 2017
256
92
Samahani wakuu naombeni mnipe habari zaidi juu ya course hizi za afya
1. MD
2. PHARMACY
3. MEDICAL LAB
4. DDS
Hapa nahitaji ufafanuzi wa kutosha kwa kila course, ahsanteni wakuu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Na vip juu ya medical lab

Kwa tanzania ya kipindi hiki ni bora usome MD au pharmacy hizo nyingine ufameshwa namba hadi ukome
 
Nisome ipi kwa ufupi

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Fuata moyo wako unapenda nn

Ila koz zote ni nzuri tu, kama ufaulu wako mzuri ukipata Muhas inakuwa vzr zaidi

Vyuo vengine sijui koz sina experience navyo

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nahitaji ufafanuzi kiundani katka course husika mfano mahahara wake na n.k

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app

Ulimaanisha mshahara?Sekta ya afya TZ mishahara yake sio ya kutumainia ndugu yangu
 
Soma inayovutia moyo wako na utaimudu pesa hufuata mafanikio

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Soma utakayo ipenda kutoka moyoni ila pia usisahau hls na tcu ndo wamechikilia ndoto yako kama ufaulu wako sio wa hali ya juu sana..proudly pharmacy student.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Karibuni wote
26aaa92c6f36e25d1f17c73ee8cb4bc5.jpg
 
Watanzania inabidi ifike kipindi tufunguke, tusiangalie fursa za vyuo za ndani ya nchi tu, tuangalie pia nje ya nchi na sio mbali sana hata ndani ya nchi za Afrika Mashariki kama Kenya,Uganda n.k. Kama una uwezo angalia fursa uko kama matokeo hayakuruhusu kutimiza ndoto zako kwa vigezo vilivyopo nchini, Cha msingi uwe na uwezo wa kujisomesha, vinginevyo upitie certificate,Diploma mpaka degree au urudie mtihani na muda haukungojei ahsante!
 
Back
Top Bottom