msaada wenu wa kuu kwenye hii sim | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wenu wa kuu kwenye hii sim

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Aug 9, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  naombeni msaada wenu wataalam. Nina nokia ASHA 200 inanizingua sana ninapofungua inter net hasa facebook huwa inaniletea ujumbe huu out of memory error java/lang/out of memory error. Pili nashindwa kabisaa kufungua na kuangalia video kwenye net,au nikiplay video you tube zinagoma. Naomba msaada wenu wakuu
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,767
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  sidhan kama hio simu ina suport video za youtube kwa kustream badala yake unatakiwa uangalie video za youtube kwa kuzidownload
  Tumia site hizi kudownload video za youtube.

  Vuclip web video search
  Tubidy Free 3GP Mobile Videos

  Hio ishu yako ya kwanza hujasema unatumia browser gani ni ovi au opera kama ni ovi jaribu badili na utumie opera na kama ni opera jaribu badili tumia ovi browser
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu natumia browser ya opera min
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,767
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Ndo jaribu change browser kuna ovi na ucweb download kupitia nokia store

  ovi.mobi
   
Loading...