Jamani nilikuwa na root simu yangu ya samasung galaxy pocket nilivyo maliza nika click reboot recovery simu ikajizima toka hapo haijawaka hadi sasa, nikatoa betri lakini nikawasha tena imegoma nikajaribu kuweka kwenye chaji haionyeshi chochote wadau najua hapa jf tatizo lang litatatuliwa natanguliza shukrani na nasubiria msaada wenu.:embarrassed1::embarrassed1: