Msaada wenu: Urafiki na watoto wa kiume

Msaada wenu: Urafiki na watoto wa kiume

Ama kwi umerud
Kasinde tu ndo kakosekana
Hapa muwe kitu kimoja
Nani huyo?!

Hujakutana na mimi mkuu!!! Nikisema hatufanyi kitu na hatufanyi kweli!
emoji23.png
emoji23.png
Amen sister! Preeeeach!

Njooo uchukue jezi karibu kiumeeee......moja kwa moja alimaanisha kuwa wewe n tom girl ivi....au mbabe flan iv ndo maana una rafik wa kike
Not necessarily in that order! Sio kweli bruh!

Rafiki wa kiume wanakupa maarifa na mori ya kupambana kimaisha,

Rafiki wa kike ni umbea na mbinu za kuchuna mabuzi.
Kweli kabsaaa dada!

Mje na huku plz
Msaada Wenu Plz: Moonlight Lady
 
Nakuwaje Na Urafiki Na Demu. Cheche Na Petroli. Eidha Tulipuke Au Tusiwe Marafiki Kabisa.
 
Mi sinaga mzuka kabisa na madem wanaopenda Campany ya kiume na sio kwamba labda wanaliwa sana tena wanakua wagum kutoa K kwasababu wanajua mbinu zote za wanaume alaf pia wanakosa hamu ya kuwa na wapenzi kwa sababu wako nao kila siku wanapiga story wote sasa hata ukiduu nae anakurizisha tu wewe
 
binafsi siamini katika kinachoitwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke........
 
Tunataka muwe nao ila ambao ni marafiki wa kawaida sio wa kuvuana
Ahahaha nimechekaa

Ki ufupi haiwezekani hiyo

Ntarudi
Kiru, ndooorooboeee

binafsi siamini katika kinachoitwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke........
Pole sanaa!

Mi sinaga mzuka kabisa na madem wanaopenda Campany ya kiume na sio kwamba labda wanaliwa sana tena wanakua wagum kutoa K kwasababu wanajua mbinu zote za wanaume alaf pia wanakosa hamu ya kuwa na wapenzi kwa sababu wako nao kila siku wanapiga story wote sasa hata ukiduu nae anakurizisha tu wewe
Che! Sio kweli bro! We umeishi na mamako miaka kibao ulikosa hamu ya mwanamke?!
 
Back
Top Bottom