Msaada wenu tena nipo njia panda

Jpe time ya kufkiria uskurupuke tu kama
Unarauka kitandan asubuh

Hapo unaingia kwny mahusiano na unampenda
Swal la kujiuliza kwako
Je nae anakupenda
Je n kwann aliachana
Na mke wake

La cvyo utajajikuta umekua
Mchepuko na jamaaa
Amerudiana na mkewe
 
Ni kweli nampenda lakini naogopa na nataka nimchunguze vya kutosha na inaonekana na heartbroken so ni kazi kidgo ipo
 
Asante Dia
 
Nahisi nampenda
 
Kurudiana na mkewe ni haipo kabisa.
ninachowaza labda ni kumfaham vizuri huyu bwana
 
Mmmm miezi 6 tu ndoa imesha vunjika? Hapo kuna tatizo kubwaa limejificha chamsingi fanya uchungizi ili ujue mwenye hilo tatizo kubwaaa ni huyo jamaa au x wake, peleleza kupitia marafiki zake na majirani pia ila bila wao kujua lengo lako. USIKURUPUKE!
 

Ni kweli nampenda lakini naogopa na nataka nimchunguze vya kutosha na inaonekana na heartbroken so ni kazi kidgo ipo

Heartbroken wewe ama yeye?

Mmh!
Aya best luck mkuu
 
Nahisi kumpenda lakini naogopa sana nisije nikajakuzama yakanitokea kama yaliyotokea..moyo wa mtu kweli kichaka
Dah .... Hakuna cha kumchunguza mambo yake ya mapenzi ya nyuma wala nini.... Labda ujihakikishie tu hahusiani na ngada kwa namna yoyote ile....
Tatizo kubwa la wapenzi ni kuficha tabia zao za asili mwanzoni kabisa mwa mahusiano... usijibanebane... jiachie 100% ili mwenzio akujue tabia zako mwanzoni kabisa ili aamue.. Hakuna tabia mbaya au nzuri... Ubaya au uzuri hutegemea na muhusika....kuna wanaopenda matembezi ya jioni na kujionyesha mbele za watu.. wengine kwao hayo ni sumu....kama unapiga vyombo piga mbele yake.... kama mtu wa sebene ajue kabisa... Aamue kama aite mvinyo au Juisi iliyochacha
Mapenzi yahusiana na kuendana (matching) bila ya hivyo ukubali kuwa Mtumwa kwa maisha yako yote yaliyobaki[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…