bea alonzo
Member
- Dec 15, 2016
- 96
- 28
Habar wanajamii forum. Nlikuwa nasikia maumivu ya vichomi, baadae maumivu ya mgogo. Baadae nyayo zikaanza kupata moto lkn kila nilipokuwa nikienda hospital tatizo halijulikan n nn napewa dawa tu. Lkn zlikuwa haznisadii baadae kinyesi kikawa kinatoka Na damu baada ya kwenda hospital nyingine wakaniambia Nina vidonda vya tumbo nikapewa dawa znaitwa Zosec omeprazole capsule 20 mg nikatumia nikapata ahueni kidogo lkn sasa naona matizo yanirud palepale kiac nashindwa kufanya shughul za kila cku. Naomben msaada wenu ili nipate kurud hali ya kawaida. Ahsanten