Msaada wenu tafadhali

Elvis Mwacha

New Member
Joined
May 4, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu ndugu zangu naomba kuwauliza.. Je ninapo download habari au taarifa au ninapoiandika kwenye excel, word, au power point na kui download iwe kwenye PDF nawezaje kuiprint ikawa katika uhalisia iwe kwenye karatasi..?
 
ctrl + p inatosha ila lazima uwe na printer yenye wino na karatasi kama A4 n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…