ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,937
- 3,054
Wakuu naombeni msaada wenu mimi kwenye masuala ya Zip/Postal Code sielewi nafanyaje.
Nakaa Wilaya Kishapu - Kata ya Luhumbo -Mwadui mgodini Mkoani Shinyanga, Nchini Tanzania.
Naomba mwenye kunipa mwongozo na wapi nitaenda kupokelea mzigo.
Sehemu zote naomba nielekezwe vema ili nijaribu kufanya manunuzi. Card ninayo, Paypal Account sina but naweza create a new account, mengine msaada wenu.Mwl.RCT na wengine karibuni kwa msaada wenu.