Msaada wenu tafadhal wataalam wa smart phone

Msaada wenu tafadhal wataalam wa smart phone

CHINGUMBE

Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
70
Reaction score
26
Nina huawei y300 kila nkitaka ku-install Apps kutoa play store inaniambia space ndogo wakat kuna zaid ya mb 140 internal na zaid ya 180 kweny sd sasa cjui tatzo!
 
mara nyingi storage ikishuka chini ya 10% ya total storage inaleta hio error. futa tu vitu
 
Playstore kuna kitu inaitwa SEND TO SDCARD kina ukubwa mdogo sana kidownload then kwa kutumia hcho waweza kuhamisha vitu vyako from phone storage to memory card.... Nadhan itakusaidia pia.
 
MbonA nikijarbu kudownload hiyo SEND TO SDCard ina andika erro¡!!!
 
Back
Top Bottom