Sina hakika sana na ninachokujib ila jaribu kuomba mkoa mwingne tofauti na huo ulioomba
kumbukumb zangu Kuna jamaa yangu aliwahi kuomba kipindi fulan alikuwa anaambiwa hivyo ikiwa na maana kwamba hiko ulichoomba katika eneo /mkoa tajwa Tayar kishaombwa na wengne haimaanishi wewe
hivyo omba sehem nyngine kwasab hizo nafasi zipo kufidia magap unaweza kuta unaomba physics Shinyanga wakati uhitaji kwa kuzingatiwa walioomba Tayar ushafit
hebu test KATAVI AU LINDI mikoa ambayo Inakwepa sana then ulete mrejesho kimetokea Nini