Mtu mwenye VVU ambaye tayar anatumia dozi anaweza kufanyiwa utrasound ya tumbo ama yoyote ile?maana kimtaani wanasema utrasound inapunguza siku zakuishi.
Mtu mwenye VVU ambaye tayar anatumia dozi anaweza kufanyiwa utrasound ya tumbo ama yoyote ile?maana kimtaani wanasema utrasound inapunguza siku zakuishi.
Uwe unaishi na VVU ama laah
Vipimo vyote kimataibabu pale Dr anapokuona akakuandikia vinaoutway madhara kwamba ni muhimu n.a. vina faida kwenye matibabu
Mwenye HIV anaweza fanya vipimo vyote USS X-RAY VIPIMO VYOTE VYA DAMU
DAMU YAKE TU HAWEZI KUMCHANGIA MWENZIE LABDA KATIKA MAZINGIRA MAALUMU
X-RAY KWA WAMAMA WAJAWAZITO INAWEZA KUWA N.A. MADHARA JAPO KATIKA HATARI YA KIFO NA KWAMBA LAZIMA AFANYIWE KUOKOA MAISHA YA MAMA BASI ITAFANYIKA KWA NAMNA FULANI KUJITAHIDI KULINDA MTOTO ESPECIALLY MIEZI YA AWALI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.